RATIBA YA NUSU FAINALI COCO SPORTS NDONDO CUP , BINGWA MTETEZI THEO KOMBAIN WATAKIPIGA NA KIBONDE MAJI
Kamati
inayosimamia Mashindano ya Coco Sports Ndondo Cup leo imetangaza ratiba ya nusu
fainali ya mwaka 2017.
Hii ndio nusu fainali ya COCO SPORTS NDONDO CUP 2017
Jumapili 24/9/2017
Theo Kombain vs Kibonde Maji
Jumatatu 25/9/2017
Six center vs Amazon fc
Mechi zote zitapigwa katika uwanja wa blue star Mwera saa 10: 00 za jioni.
Mashindano hayo ya Ndondo CUP awali yalianza na timu 63 kwa
kuchezwa mtoano na mpaka sasa kufikia hatua ya nusu fainali ambapo bingwa anatarajiwa kupatiwa Ng'ombe na
Shilingi Milioni moja.
Comments
Post a Comment