TAIFA JANG’OMBE NA KWEREKWE CITY HAPATOSHI HAPO
Wachezaji wa Taifa ya Jang'ombe |
Timu ya Taifa ya Jang’ombe (Wakombozi wa Ngambo) ambao
wanashiriki ligi kuu soka ya Zanzibar, wanatarajia kucheza mchezo wa kirafiki
dhidi ya Kwerekwe City inayoshiriki ligi daraja la Pili Taifa Unguja.
Mchezo huo utapigwa siku ya Jumapili ya Oktoba 1, 2017 saa 1:00
za usiku katika uwanja wa Amaan.
Comments
Post a Comment