KARIHE ANZA , FEI TOTO SUB KIKOSI CHA ZANZIBAR HEROES LEO DHIDI YA KENYA FAINALI
Kocha wa
Mkuu wa timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) Hemed
Suleiman “Morocco” ametangaza kikosi chake kitakachocheza leo kwenye mchezo wa fainali Mashindano
ya CECAFA SENIOR CHALLENGE CUP kati ya Zanzibar dhidi ya wenyeji Kenya katika
uwanja wa Kenyatta uliopo
Machakos nchini Kenya, pambano
litakalopigwa majira ya saa 09:00 za Alaasiri.
ZANZIBAR
HEROES
1. Mohammed Abrahman Mohd (Wawesha) 18
2. Ibrahim Mohd Said (Sangula) 15
3. Mwinyi Haji Ngwali 16
4. Abdulla Salum Kheri (Sebo) 13
5. Issa Haidar Dau (Mwalala) 8
6. Abdul azizi Makame Hassan (Abui) 21
7. Seif Abdallah Rashid (Karihe) 12
8. Mudathir Yahya Abass 4
9. Ibrahim Hamad Ahmada “Hilika” 17
10.
Mohd
Issa Juma (Banka) 10
11.
Suleiman
Kassim Suleiman “Seleembe” 7 (Captain)
AKIBA
1. Ahmed Ali Suleiman (Salula) 1
2. Nassor Mrisho Salim 30
3. Mohd Othman Mmanga 6
4. Adeyum Ahmed Seif 20
5. Ibrahim Abdallah Hamad 2
6. Abdullah Haji Shaibu (Ninja) 5
7. Hamad Mshamata Makame 9
8. Khamis Mussa Makame (Rais) 28
9. Abdul swamad Kassim Ali (Hasgut) 22
10.
Feisal
Salum Abdallah (Fei Toto) 3
Comments
Post a Comment