KOCHA MOHAMMED KING AFIWA NA BABA YAKE MZAZI
Kocha wa zamani wa Baghdad, Azam FC, Jang'ombe Boys, JKU na Miembeni City Mohammed Seif Mzee (King) amefiwa na baba yake mzazi, Seif Mzee aliyefariki leo.
Marehemu Mzee Seif aliwahi kuwa Daktari katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja pia aliwahi kufanya kazi katika Meli ya Mv Mapinduzi.
Marehemu Seif atazikwa kesho Jumanne saa 4:00 za asubuhi nyumbani kwao Chaani Kichungwani.
Inna lillahi wa inna ilayhi rajiuwn

Kocha Mohammed Seif Mzee (King) aliyefiliwa na babayake mzazi leo |
Comments
Post a Comment