MAPINDUZI CUP KUANZA RASMI IJUMAA, ZIJUWE TIMU 11 ZITAKAZOSHIRIKI ZIMEPANGWA NA NANI
Pazia la Mashindano ya Kombe la Mapinduzi linatarajiwa kuanza kutimua vumbi lake kesho kutwa Ijumaa Disemba 29, 2017 katika uwanja wa Amaan.
Siku hiyo itapigwa michezo mitatu ambapo saa 8:00 za mchana wataanza kati ya Mlandege dhidi ya JKU, Saa 10:00 za jioni Jamhuri watacheza na ndugu zao Mwenge na saa 2:15 usiku Zimamoto watakipiga na Taifa ya Jang'ombe.
Jumla ya timu 11 zitakazoshiriki Mashindano hayo zikiwemo sita za Zanzibar, nne kutoka Tanzania bara na moja kutoka Uganda ambapo zimepangwa katika makundi mawili A na B.
Katika kundi A, kuna Mabingwa watetezi Azam FC, Simba SC, URA, Mwenge na Jamhuri.
Katika michuano hiyo Klabu ya Yanga ambayo ipo katika kundi B, ipo pamoja na timu za Zimamoto, Mlandege, JKU, Taifa ya Jang'ombe na Singida United .
Ratiba kamRatiba kamili hii hapa.
Dec 29, 2017 Ijumaa saa 8:00 mchana Mlandege vs JKU Group B, saa 10:00 Jamhuri vs Mwenge Group A, saa 2:15 Zimamoto vs Taifa ya Jan’gombe Group B
Dec. 30, 2017 Jumamosi saa 10:00 Zimamoto vs JKU Group B, Saa 2:15 Taifa ya Jan’gombe vs Mlandege Group B
Dec. 31,2017 Jumapili Saa 10:00 Azam vs Mwenge Group A, saa 2:15 Jamhuri vs URA Group A
Jan. 1, 2018 Jumatatu Saa 10:00 Mlandege vs Zimamoto Group B, saa 2:15 JKU vs Taifa ya Jan’gombe Group B
Jan. 2, 2018 Jumanne Saa 10:00 Singida united vs Zimamoto Group B, saa 2:15 Simba vs Mwenge Group A Yanga vs Mlandege Group B
Jan. 3, 2018 Jumatano URA vs Mwenge Group A Azam vs Jamhuri Group A Taifa ya Jan’gombe vs Singida united Group B
Jan. 4, 2018 Thursday JKU vs Yanga Group BSimba vs Jamhuri Group A
Jan. 5, 2018 Friday Mlandege vs Singida united Group B URA vs Azam Group A Yanga vs Taifa ya Jan’gombe Group B
Jan. 6, 2018 Saturday JKU vs Singida united Group B Simba vs Azam Group A
Jan. 7, 2018 Sunday Zimamoto vs Yanga Group B
Jan. 8, 2018 Monday Simba vs URA Group A Yanga vs Singida united Group B
Jan. 9, 2018 Tuesday Mapumziko
Jan.10,2018 Wednesday 1st Semi Final (Winner Group A, Runners Up Group )
10:30 jioni 2nd Semi Final(Winner Group B, Runners Up GroupA)
2:15 usiku
Jan. 13, 2018 Saturday MAPINDUZI CUP FINAL 2018 8:00 pm (saa 2:00 usiku).

Comments
Post a Comment