AZAM SPORTS FEDERATION CUP – NUSU FAINALI: AZAM-SIMBA, MBAO-YANGA
DROO
ya Mechi za Nusu Fainali za Azam Sports Federation Cup imefanyika Leo
na Mabingwa Watetezi Yanga kupangwa kucheza na Mbao FC huko CCM Kirumba,
Mwanza.
Nusu Fainali nyingi ni kati ya Azam FC na Simba na Mechi hii itachezwa Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam hapo 29.
Mbao FC na Yanga zitachezwa Aprili 30.
Nusu Fainali nyingi ni kati ya Azam FC na Simba na Mechi hii itachezwa Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam hapo 29.
Mbao FC na Yanga zitachezwa Aprili 30.
Comments
Post a Comment