HAJI MANARA JELA MWAKA 1, FAINI SH MIL 9
Mkuu
wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Haji Manara,
amehukumiwa Kifungo cha Mwaka Mmoja kutojihusisha na masuala ya Soka na
pia kutakiwa kulipa Faini ya Shilingi Milioni 9.
Adhabu hiyo imetolewa na Kamati ya Nidhamu ya TFF baada ya Manara kupatikana na Makosa Matatu yaliyoainishwa kwamba ni kuidhalilisha TFF, kueneza chuki za ukabila na la tatu kuingilia utendaji wa Shirikisho hilo.

Comments
Post a Comment