LIVE KUTOKA UWANJA WA AMAN, ZIMAMOTO V/S POLISI
Kikosi cha Zimamoto |
Full time kutoka uwanja wa Amaan, Zimamoto 0-3 Polisi, mchezo wa ligi kuu soka ya Zanzibar kanda ya Unguja.
Mabao ya Polisi yamefungwa Suleiman Ali Nuhu dakika 32 na Abdallah Omar Ali dakika ya 45 na Mohd Hassan dakika ya 59.
Comments
Post a Comment