MASHABIKI WAANZA KUJITOKEZA KWA WINGI KUANGALIA BOYS DHIDI YA TAIFA
Zoezi la kuuza tiketi mchezo wa ligi kuu soka ya Zanzobar kati ya Taifa ya Jang'ombe dhidi ya Jang'Ombeboys Fc tayari limeshaanza kuanzia saa12:00 jioni.
Mechi itaanza saa 2:30 usiku uwanja wa Amaan.
Viingilio katika mchezo huo ni: majukwaa ya urusi, orbit na saa itakua 2000, majukwaa ya wings 3000, V.I.P B,C na D itakua 5000 na V.I.P A 10,000.
Comments
Post a Comment