RAZA ATOLEWA MASHINDANO YA MAJIMBO NA WAUZA LA TONGE TONGE

Timu ya Jimbo la Uzini imetolewa katika hatua ya robo fainali kwenye Mashindano ya Majimbo baada ya kufungwa na Jimbo la Malindi kwa penalti 4-3 kufuatia dakika 90 kumalizika kwa sare ya 2-2, mchezo uliopigwa jioni ya leo katika uwanja wa Polisi Ziwani.

Mashindano hayo yataendelea tena kesho kwa kupigwa mchezo mmoja wa robo fainali katika uwanja wa Polisi Ziwani kati ya Timu ya Afisi kuu ya CCM dhidi ya Kaskazini B.

Bingwa wa Mashindano hayo atazawadiwa Gari aina ya Carry.

Comments

Popular posts from this blog

HUYU NDIYE MCHEZAJI MWENYE REKODI YA KUFUNGA MAGOLI MENGI KWENYE MECHI YA TAIFA DHIDI YA BOYS

WACHEZAJI WA 5 WA ZANZIBAR HEROES WAMEITWA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA TAIFA STARS KWAAJILI YA MICHEZO MIWILI YA KIMATAIFA YA KALENDA YA FIFA.

KMKM KUANDAA MASHINDANO YA RIADHA