VIINGILIO VYA MECHI YA TAIFA NA BOYS HIVI HAPA
Chama cha Soka Visiwani Zanzibar "ZFA" kimetangaza viwango vya viingilio vya mchezo wa kesho Jumanne 25/4/2017 Dabi ya Jang'ombe katika mwendelezo wa ligi kuu ya soka Zanzibar kanda ya Unguja kati ya Jang'ombe Boys vs Taifa ya Jang'ombe saa 2:30 usiku uwanja wa Amaan.
Viingilio katika mchezo huo ni:
Jukwaa ya urusi, orbit na saa itakua 2000, jukwaa la wings 3000, V.I.P "B", "C" na "D" itakua 5000 na V.I.P "A" 10,000.
Comments
Post a Comment