BAADA YA ZU KUSHINDA KOMBE LA ZAHILFE, UWANJA WA AMAN UKAFURIKA MASHABIKI KATI KATI YA UWANJA
JANA Chuo cha Zanzibar University (ZU) wamefanikiwa kutetea
taji lao baada ya kuwafunga Afya Mbweni mabao 4-1 katika fainali ya tano ya
Mashindano ya Vyuo Vikuu na taasisi ya Elimu ya Juu Zanzibar (ZAHILFE CUP)
katika uwanja wa Amaan.
Lakini punde tu Muamuzi wa Pambano hilo Mfaume Ali Nassor
kupuliza penga kuashiria mchezo huo kumalizika Mashabiki wakaingia uwanjani
kushangiria ushindi huo.
HISTORIA YA ZAHILFE
2013 AFYA MBWENI PENALTI
5-4 ZU, DAKIKA 90 WALITOKA 0-0
2014 CHWAKA PENALTI 5-4 ZITOD, DAKIKA 90 WALITOKA 1-1
2015 SUMAIT 1-0 ZU
2016 ZU 4-2 CHWAKA
2017 ZU 4-1 AFYA
lemultrulhe Tom Proulx click here
ReplyDeletekingtasfaestan