BONAZA LA MASAUNI CUP USIPIME MWAKA HUU
Naibu waziri wa mambo ya ndani wa Tanzania (Aliyevaa kofia) ambae pia ni
Mbunge wa jimbo la Kikwajuni Hamad Yussuf Masauni akizikabidhi Jezi kwa kamati ya Mashindano ya Masauni na Jazira CUP, Mashindano ambayo yanayotarajiwa kufanyika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan baada ya
Sala ya Tarawehe.
Endelea kufatilia Blog hii itakuletea taarifa zote kuhusu
Mashindano hayo zikiwemo Ratiba, Timu shiriki, Zawadi kwa Washindi na mambo
mengi kuhusu Bonanza hilo.
Hamad Yussuf Masauni |
Comments
Post a Comment