LIVE, ZU WANAONGOZA 4-1 DHIDI YA AFYA, FAINALI YA ZAHILFE CUP
Zanzibar University (ZU) 4-1 Afya Mbweni.
Fainali ya tano ya Mashindano ya Vyuo Vikuu na taasisi ya
Elimu ya Juu Zanzibar (ZAHILFE CUP) katika uwanja wa Amaan.
Mabao ya ZU yamefungwa na Hassan Hemed dakika ya 10 na 43,
Nabil Amour (Jaja) dakika 35 na Yussuf
Haji dakika ya 51.
Bao pekee la Afya limefungwa na Yakoub Omar dakika ya 41.
Mpira umeisha ZU mabingwa.
Comments
Post a Comment