ZU MABINGWA TENA ZAHILFE
Chuo cha Zanzibar University (ZU) wamefanikiwa kutetea taji
lao baada ya kuwafunga Afya Mbweni mabao 4-1 katika fainali ya tano ya
Mashindano ya Vyuo Vikuu na taasisi ya Elimu ya Juu Zanzibar (ZAHILFE CUP)
katika uwanja wa Amaan.
Mabao ya ZU yamefungwa na Hassan Hemed dakika ya 10 na 43,
Nabil Amour (Jaja) dakika 35 na Yussuf
Haji dakika ya 51.
Bao pekee la Afya limefungwa na Yakoub Omar dakika ya 41.
HISTORIA YA ZAHILFE
2013 AFYA MBWENI
PENALTI 5-4 ZU, DAKIKA 90 WALITOKA 0-0
2014 CHWAKA PENALTI 5-4 ZITOD, DAKIKA 90 WALITOKA 1-1
2015 SUMAIT 1-0 ZU
2016 ZU 4-2 CHWAKA
2017 ZU 4-1 AFYA
Comments
Post a Comment