GULIONI NA TAIFA YA JANG’OMBE KUNOGESHA SIKUU YA EID PILI KESHO AMAN
Katika kusheherekea Sikuu ya Eid Fitir timu ya Taifa ya Jang’ombe
na Gulioni watacheza mchezo maalum wa kirafiki kesho Jumanne Iddi Pili mchezo
ambao utasukumwa majira ya saa 2:00 za usiku katika Uwanja wa Amaan.
Viingilio vya mchezo huo ni Shilingi 2000/=, 3000/= na VIP 5000/= .
Mbali ya mchezo huo kesho, siku ya Alhamis Iddi nne Gulioni
watacheza mchezo mwengine wa kirafiki dhidi ya Jang’ombe Boys mchezo ambao
utapigwa majira ya saa 2:00 za usiku katika Uwanja wa Amaan.
Comments
Post a Comment