MAKUNDI YA UJIRANI MWEMA NDONDO CUP YAWEKWA HADHARANI
Mashindano ya ujirani mwema Ndondo CUP inatarajiwa kuanza
rasmi mnamo July 9, 2017 katika uwanja wa Maungani kati ya Mabingwa watetezi
timu ya Miembeni dhidi ya Microtech ambapo Kamati ya Mashindano hayo pia
imepanga makundi 4 katika timu 20 zitakazocheza.
KUNDI A
Miembeni, Kane Kombain, Birmingham, FC Lugalo na Microtech.
KUNDI B
Qatar, Kilimani City, Kikungwi, No Fair na Tandale.
KUNDI C
African Coast, Njaa kali, Zantex na Unajua Unacheza na Nani.
KUNDI D
Jamaica, Oklahoma, Mitondooni, Daladala na Chaani Stars.
Comments
Post a Comment