MATUKIO KWA PICHA YA SAKHO WA LIVERPOL ALIPOWATEMBELA WATOTO YATIMA ZANZIBAR

Mfaransa Mamadou Sakho anayechezea Liverpool ya England jana jioni  alitembelea kituo cha kulelea watoto yatima cha SOS kilichopo Mombasa Unguja. 
Sakho amefatana na mke wake Madna na Watoto wake wawili wa kike.

Watoto Yatima wa kituo cha SOS Mombasa Unguja wakimpokea Sakho
Sakho akisalimiana na wanakijiji cha SOS ambao ni watoto Yatima
Sakho akisalimiana na wanakijiji cha SOS ambao ni watoto Yatima

Vijana nao hawapo nyuma kupiga picha za kumbukumbu

Picha ya pamoja Sakho na watoto Yatima wa SOS


Baadhi ya Vyakula alivyotowa msaada Sakho kwenye kituo cha SOS

Comments

Popular posts from this blog

HUYU NDIYE MCHEZAJI MWENYE REKODI YA KUFUNGA MAGOLI MENGI KWENYE MECHI YA TAIFA DHIDI YA BOYS

WACHEZAJI WA 5 WA ZANZIBAR HEROES WAMEITWA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA TAIFA STARS KWAAJILI YA MICHEZO MIWILI YA KIMATAIFA YA KALENDA YA FIFA.

KMKM KUANDAA MASHINDANO YA RIADHA