TAIFA YAUKUBALI MZIKI WA MLANDEGE
Mchezo wa kirafiki Taifa ya Jang'ombe 1-2 Mlandege katika uwanja wa Aman.
Mabao ya Mlandege yamefungwa na Abdallah Edi Mundo dakika ya 60 na Razak Halfan dakika ya 78.
Bao pekee la Taifa limefungwa na Ali Badru dakika ya 30.
Comments
Post a Comment