BOYS HOI KWA ZIMAMOTO, JAMHURI BADO KIGUGUMIZI
Timu ya Zimamoto imefanikiwa kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi
ya Jang’ombe Boys katika mchezo wa ligi kuu soka ya Zanzibar hatua ya 8 bora
uliosukumwa jioni ya leo katika uwanja wa Amaan.
Goli la Zimamoto lilifungwa na Idrissa Simai Pandu dakika ya
84.
Mchezo mwengine umepigwa katika uwanja wa Gombani kisiwani
Pemba timu ya Jamhuri ikaenda sare ya 1-1 dhidi ya Okapi.
Bao la Okapi limefungwa na Bakar Hamad dakika ya 5 wakati bao
la Jamhuri limefungwa na Ahmed Ali Omar dakika ya 20.
Ligi hiyo itaendelea tena kesho.
J’TANO
|
26/7/017
|
31
|
MWENGE
|
VS
|
KIZIMBANI
|
SAA 10 JIONI GOMBANI
|
J’TANO
|
26/7/017
|
32
|
JKU
|
VS
|
TAIFA
|
SAA 10JIONI AMAAN
|
9TH ROUND
|
||||||
J’MOSI
|
29/7/017
|
33
|
ZIMAMOTO
|
VS
|
JKU
|
SAA 10 JIONI AMAAN
|
J’MOSI
|
29/7/017
|
34
|
JAMHURI
|
VS
|
MWENGE
|
SAA 10 JIONI GOMBANI
|
J’PILI
|
30/7/017
|
35
|
OKAPI
|
VS
|
KIZIMBANI
|
SAA 10 JIONI GOMBANI
|
J’PILI
|
30/7/017
|
36
|
JANG’OMBE BOYS
|
VS
|
TAIFA
|
SAA 1:00USK AMAAN
|
Comments
Post a Comment