MATOKEO YA WILAYA YA KUSINI
Na Abdulhamid Ali, Kusini Unguja.
MATOKEO LIGI DARAJA LA PILI WILAYA YA KUSINI LEO.
KWENYE UWANJA WA SUNGUSUNGU, MBUYUNI 1 - 1 KIBUTENI.
GOLI LA KIBUTENI LIMEFUNGWA NA IDDI HAJI KWENYE DAKIKA YA 26 NA LA MBUYUNI ABDALLAH MSELEM KWENYE DAKIKA YA 77.
KWENYE UWANJA WA MUUNGONI, PAJE STAR 3 - 1 PETE STAR.
KWENYE UWANJA WA JAMHURI, UHURU 1 - 1 GEREJI.
KESHO KWENYE UWANJA WA SUNGUSUNGU NAIROGWE WATACHEZA NA NEW BOYS.
AZIMIO NA DULLA BOYS KWENYE UWANJA WA JAMHURI NA NYOTA NYEUSI WATACHEZA NA NEW GENERATION KWENYE UWANJA WA MUUNGONI.
Comments
Post a Comment