THEO KOMBAIN YATOLEWA KATIKA MASHINDANO YA NDONDO CUP NA KIBONDE MAJI
Matokeo ya leo Jumapili 24/9/2017 nusu fainali ya kwanza.
Dakika 90, Theo Kombain 1-1 Kibonde Maji , Penalty Kibonde maji 4-3 Theo.
KESHO Jumatatu 25/9/2017
Six center vs Amazon fc
katika uwanja wa blue star Mwera saa 10: 00 za jioni.
Mashindano
hayo ya Ndondo CUP awali yalianza na timu 63 kwa kuchezwa mtoano na mpaka sasa
kufikia hatua ya nusu fainali ambapo bingwa anatarajiwa kupatiwa Ng'ombe
na Shilingi Milioni moja.
Mashabiki wa Kibonde Maji wakishangiria ushindi |
Comments
Post a Comment