HAWA NDIO WANAONGOZA KWA MAGOLI LIGI KUU ZANZIBAR KANDA YA UNGUJA
Mzunguko wa nne wa ligi kuu soka ya Zanzibar Kanda ya Unguja utaanza
Ijumaa Oktoba 27 katika uwanja wa Amaan saa 10:00 za jioni Miembeni City dhidi
ya Chuoni .
Mpaka sasa jumla ya mabao 41
yamefungwa katika ligi hiyo huku washambuliaji Salum Songoro wa KVZ na Nassor
Ali wa Kipanga ndio wanaongoza katika safu ya ufungaji ambapo wameshafunga
jumla ya mabao 4 kila mmoja.
MABAO 4
Salum
Songoro (KVZ) mabao 4
Nassor Ali (Kipanga) mabao 4
MABAO 3
Mudrik Muhibu (KMKM) mabao 3
Salum Akida (KMKM) mabao 3
MABAO 2
Ali Haji Said “Zege” (JKU) mabao 2
Salum Songoro |
Comments
Post a Comment