LIGI KUU ZENJ KUINGIA MZIGONI TENA KESHO MIEMBENI CITY KUKIPIGA NA CHUON
Chuoni |
Mzunguko wa nne wa ligi kuu soka ya Zanzibar kanda ya Unguja
utaanza kesho kwa kupigwa mchezo mmoja katika Uwanja wa Amaan kati ya Chuoni
dhidi ya Miembeni City majira ya saa 10:00 za jioni.
Chuoni inakwenda katika mchezo huo wakiwa na alama 4 wakishika
nafasi ya 6 huku Miembeni City wenyewe wakijitupa katika mchezo huo wakiwa na
rekodi mbaya yakupoteza michezo mitatu mfululizo ya awali na wakikamata nafasi
ya 13 katika timu 14 zinazoshiriki ligi hiyo.
IJUMAA
|
27/10/017
|
22
|
MIEMBENI
CITY
|
VS
|
CHUONI
|
SAA
10:00 ALS AMAAN
|
J’MOSI
|
28/10/017
|
23
|
TAIFA
YA J/MBE
|
VS
|
JKU
|
SAA
8:00 MCH AMAAN
|
J’MOSI
|
28/10/017
|
24
|
KVZ
|
VS
|
MAFUNZO
|
SAA
10:00 ALS AMAAN
|
J’PILI
|
29/10/017
|
25
|
KIPANGA
|
VS
|
POLISI
|
SAA
8:00 MCH AMAAN
|
J’PILI
|
29/10/017
|
26
|
KMKM
|
VS
|
ZIMAMOTO
|
SAA
10:00 ALS AMAAN
|
J’TATU
|
30/10/017
|
27
|
BLACK
SAILORS
|
VS
|
CHARAWE
|
SAA
8:00 MCH AMAAN
|
J’TATU
|
30/10/017
|
28
|
JANG’OMBE
BOYS
|
VS
|
KILIMANI
CITY
|
SAA
10:00 ALS AMAAN
|
Comments
Post a Comment