KAMARA AWAPONGEZA WAAMUZI WA ZANZIBAR WALOPATA BEJI YA FIFA
Katibu
wa Waamuzi wa Soka Zanzibar Muhsin Ali “Kamara” amewapongeza waamuzi wanne wa
Zanzibar waliyopata beji ya FIFA.
Kamara
amesema ni faraja kwa Zanzibar kutoa waamuzi wa nne wenye beji hiyo ya FIFA.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka FIFA, Waamuzi walioteuliwa kutoka Zanzibar ni Mfaume Ali akiwa ni Muamuzi wa kati huku Wasaidizi walipewa beji hizo Mgaza Kunduli, Mbaraka Haule na mwanamama Dalila Jaffari.
Comments
Post a Comment