TAIFA YA JANG'OMBE YAIPUNGUZA KAZI KVZ
Baada ya kucheza michezo 6 mfululizo bila ya kupoteza hata mchezo mmoja hatimae leo timu ya KVZ imekubali kufungwa bao 1-0 na Taifa ya Jang'ombe katika mchezo wa mwisho wa mzunguko wa 7 wa ligi kuu soka ya Zanzibar Kanda ya Unguja uliopigwa jioni ya leo katika uwanja wa Amaan.
Bao pekee la Taifa limefungwa na Mohd Abdallah dakika ya 36 ya mchezo.
Bao pekee la Taifa limefungwa na Mohd Abdallah dakika ya 36 ya mchezo.
Comments
Post a Comment