WACHEZAJI WA 3 WA YANGA WARIPOTI KAMBI YA ZANZIBAR HEROES
Wachezaji watatu wa Klabu ya Yanga SC akiwemo
mlinzi wa kushoto Haji Mwinyi Ngwali, Abdallah Haji Shaibu “Ninja” pamoja na
Mshambuliaji Mateo Anton Simon, leo wamejiunga na kambi ya Timu ya Taifa ya
Zanzibar (Zanzibar Heroes) na kufanya mazoezi pamoja na wenzao katika uwanja wa
Amaan.
Wachezaji hao walicherewa kufika kambini hapo kwa
takribani wiki moja baada ya kuendelee kuitumikia klabu yao kwenye michezo
mbali mbali ya Ligi Kuu soka Tanzania Bara.
Comments
Post a Comment