ZANZIBAR HEROES YABANWA NA WATOTO WA KOMBAIN
Timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) imetoka sare ya bao 1-1 na timu ya Kombain ya Unguja, katika mchezo wa kirafiki lililopigwa jioni ya leo kwenye uwanja wa Amaan.
Walianza Kombain ya Unguja kufunga bao katika dakika 10 kupitia Is haka Said na Heroes wakajibu mapigo katika dakika ya 66 mfungaji akiwa Ibrahim Hamad Hilika.
Walianza Kombain ya Unguja kufunga bao katika dakika 10 kupitia Is haka Said na Heroes wakajibu mapigo katika dakika ya 66 mfungaji akiwa Ibrahim Hamad Hilika.
Comments
Post a Comment