ZANZIBAR HEROES YAPANGWA KUNDI LA KIFO, IPO PAMOJA NA TANZANIA BARA MASHINDANO YA CHALENJI

Timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) imepangwa kundi moja na ndugu zao Tanzania Bara kwenye Mashindano ya CECAFA Chalenji CUP yanayotarajiwa kuanza rasmi Disemba 3-17, 2017 nchini Kenya.

Kundi hilo ni A ambalo lina Mataifa ya Zanzibar, Tanzania Bara, Libya, Rwanda na wenyeji Kenya.


Kundi B kuna Mataifa ya Sudan ya Kusini, Ethiopia, Zimbabwe, Burundi na Uganda.

Ratiba Kamili hii hapa.
CECAFA CHALLENGE CUP FIXTURES
2017 IN KENYA

Group A

FORMAT

Group B

Ken, Rwa,Lib,Tan, Zan

GROUP STAGE,SEMI FINALS-FINAL

Uga,Zim,Bur,Eth,S Sud







DATES
M.NO
FIXTURES

VENUES-KAKAMEGA,KISM,NAKURU
TIME
Sunday
3/12/2017
1
2
(Libya v Tanzania)
(Kenya v Rwanda)

A

2.00PM
4.00 PM
Monday 
4/12/2017
3
4
(Burundi v Ethiopia)
(Uganda v Zimbabwe )

B

2.00 PM
4.00 PM
Tuesday
5/12/2017
5
6
(Zanzibar v Rwanda)
(Kenya v Libya)
A

2.00 PM
4.00 PM
Wednesday
6/12/2017
7
8
(S Sud v Zimbabwe )
( Uganda v Burundi )
B

2.00 PM
4.00 PM
Thursday
7/12/2017
9
10
(Tanzania v Zanzibar)
(Rwanda v Libya)
A

2.00 PM
4.00 PM
Friday
8/12/2017
11
12
(S.Sud v Ethiopia)
(Zimbabwe v Burundi)
B

2.00 PM
4.00 PM
Saturday
9/12/2017
13
14
(Rwanda v Tanzania)
( Kenya v Zanzibar)
A

2.00 PM
4.00 PM
Sunday
10/12/2017
15
16
(S.Sud v Burundi)
(Ethiopia v Uganda)
B

2.00 PM
4.00 PM
Monday
11/12/2017
17
18
(Libya v Zanzibar)
(Kenya v Tanzania)
A

2.00 PM
4.00 PM
Tuesday
12/12/2017
19
20
(Uganda v S.Sudan
(Zimbabwe v Ethiopia)
B

2.00 PM
4.00 PM
Wednesday
13/12/2017

REST DAY



Thursday
14/12/2017
21
1st Semi final
Winner A v Runners-up B


3.00 PM
Friday
15/12/2017
22
2nd  semi final
Winner B V Runners-up A


3.00 PM
Saturday
16/12/2017

REST DAY









Sunday
17/12/2017
23
24
THIRD PLACE MATCH
Final


 1.30PM
3.00 PM

Comments

Popular posts from this blog

HUYU NDIYE MCHEZAJI MWENYE REKODI YA KUFUNGA MAGOLI MENGI KWENYE MECHI YA TAIFA DHIDI YA BOYS

WACHEZAJI WA 5 WA ZANZIBAR HEROES WAMEITWA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA TAIFA STARS KWAAJILI YA MICHEZO MIWILI YA KIMATAIFA YA KALENDA YA FIFA.

KMKM KUANDAA MASHINDANO YA RIADHA