KIKOSI CHA ZANZIBAR HEROES KITAKACHACHEZA LEO HICHI HAPA, MMANGA MAJERUHI BAADA YA JANA USIKU KUUMIA



Kocha wa Mkuu wa timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) Hemed Suleiman “Morocco” ametangaza kikosi chake kitakachocheza leo kwenye Mashindano ya  CECAFA SENIOR CHALLENGE CUP dhidi ya Rwanda katika uwanja wa Kenyatta uliopo Machakos nchini Kenya, pambano litakalopigwa majira ya saa 8:00 za mchana.

1.  Mohd Abrahman (Wawesha)
2.  Ibrahim Mohd (Sangula)
3.  Haji Mwinyi Ngwali
4.  Abdulla Kheri (Sebo)
5.  Issa Haidar Dau (Mwalala)
6.  Abdul azizi Makame (Abui)
7.  Mohd Issa (Banka)
8.  Mudathir Yahya
9.  Ibrahim Hamad Hilika
10.                   Feisal Salum (Fei Toto)
11.                   Suleiman Kassim “Seleembe” (Captain)

SUB
1.  Ahmed Ali (Salula)
2.  Ibrahim Abdallah
3.  Adeyum Saleh
4.  Abdullah Haji (Ninja)
5.  Seif Rashid (Karihe)
6.  Kassim Suleiman
7.  Hamad Mshamata
8.  Khamis Mussa (Rais)
9.  Amour Suleiman (Pwina)
10.                   Abdul swamad Kassim (Hasgut)

Mlinzi Mohd Othman Mmanga amepata jeraha baada ya jana usiku kujikwaa chooni na kuumia  mguu na kulazimika kushonwa, nafasi yake ikalazimika kuchukuliwa na Ibrahim Mohd (Sangula).

Comments

Popular posts from this blog

HUYU NDIYE MCHEZAJI MWENYE REKODI YA KUFUNGA MAGOLI MENGI KWENYE MECHI YA TAIFA DHIDI YA BOYS

WACHEZAJI WA 5 WA ZANZIBAR HEROES WAMEITWA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA TAIFA STARS KWAAJILI YA MICHEZO MIWILI YA KIMATAIFA YA KALENDA YA FIFA.

KMKM KUANDAA MASHINDANO YA RIADHA