WA ETHIOPIA WATAKAOCHEZA NA ZIMAMOTO WAWASILI ZENJ
Wapinzani wa Zimamoto kwenye kombe la Shirikisho barani Afrika Walaitta Dicha ya Ethiopia imewasili Zanzibar mchana wa leo ikijiandaa na mchezo wao siku ya Jumapili majira ya saa
10:00 za jioni katika uwanja wa Amaan.
Comments
Post a Comment