NINJA NA FEI TOTO WAANZISHWA YANGA


Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) wanaochezea Yanga Beki Abdallah Haji Shaibu (Ninja) na Kiungo Feisal Salum (Fei Toto) wamepangwa katika kikosi cha awali cha Yanga kitakacheza na Mtibwa Sugar kwenye mchezo wao kwanza wa Ligi kuu Soka Tanzania Bara utakaochezwa leo majira ya saa 12:00 za jioni.
Kikosi kamili cha Yanga kitakachoanza dhidi ya Mtibwa Sugar FC, leo.

1. Benno Kakolanya
2. Juma Abdul
3. Gadiel Michael
4. Andrew Vincent 
5. Kelvin Yondani
6. Abdalah Shaibu 
7. Deus Kaseke
8. Papy Tshishimbi 
9. Heriter Makambo
10. Feisal Salum 
11. Mrisho Ngassa

Kikosi cha akiba

12. Ramadhani Kabwili
13. Haji Mwinyi
14. Saidi Juma 
15. Thaban Kamusoko
16. Raphael Daudi
17. Ibrahim Ajibu
18. Matheo Antony

Comments

Popular posts from this blog

HUYU NDIYE MCHEZAJI MWENYE REKODI YA KUFUNGA MAGOLI MENGI KWENYE MECHI YA TAIFA DHIDI YA BOYS

WACHEZAJI WA 5 WA ZANZIBAR HEROES WAMEITWA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA TAIFA STARS KWAAJILI YA MICHEZO MIWILI YA KIMATAIFA YA KALENDA YA FIFA.

KMKM KUANDAA MASHINDANO YA RIADHA