Posts

Showing posts from August, 2018

Msimamo ligi ya Zanzibar

Image

NINJA NA FEI TOTO WAANZISHWA YANGA

Image
Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) wanaochezea Yanga Beki Abdallah Haji Shaibu (Ninja) na Kiungo Feisal Salum (Fei Toto) wamepangwa katika kikosi cha awali cha Yanga kitakacheza na Mtibwa Sugar kwenye mchezo wao kwanza wa Ligi kuu Soka Tanzania Bara utakaochezwa leo majira ya saa 12:00 za jioni. Kikosi kamili cha Yanga kitakachoanza dhidi ya Mtibwa Sugar FC, leo. 1. Benno Kakolanya 2. Juma Abdul 3. Gadiel Michael 4. Andrew Vincent  5. Kelvin Yondani 6. Abdalah Shaibu  7. Deus Kaseke 8. Papy Tshishimbi  9. Heriter Makambo 10. Feisal Salum  11. Mrisho Ngassa Kikosi cha akiba 12. Ramadhani Kabwili 13. Haji Mwinyi 14. Saidi Juma  15. Thaban Kamusoko 16. Raphael Daudi 17. Ibrahim Ajibu 18. Matheo Antony

VIKOSI VYA SMZ VYAENDELEA KUTAMBA LIGI KUU SOKA ZANZIBAR

Image

Msimamo wa Zanzibar

Image

Mzunguko wa Pili ligi kuu Soka Zanzibar hatua ya 8 Bora utaanza rasmi kesho

Image

ZFA YATOA ONYO KALI KWA TIMU ITAKAYOPANGA MATOKEO

Image
Msemaji wa kamati Teule ya chama cha soka Visiwani Zanzibar (ZFA) Abubakar Khatib Kisandu amezitahadharisha timu zote ambazo zinashiriki ligi kuu soka ya Zanzibar hatua ya nane bora pamoja na zile zinacheza ligi ya Mabingwa Wilaya kuwa makini na aina yoyote ya upangaji wa matokeo katika kipindi hichi cha mwisho kuelekea kumalizika michezo ya mwisho ya msimu wa mwaka 2017-2018 huku kukiwa na mvutano mkubwa wa kuzitafuta nafasi za ubingwa wa ligi hizo. Kisandu amesema kuna viashiria vya upangaji wa matokeo katika kipindi hichi lakini ZFA wamejipanga kuhakikisha kuwachukulia hatua timu au mtu yoyote atakaehusika katika kadhia hiyo. Amesema kwa sasa ZFA wanashirikiana kwa ukaribu sana Mamlaka ya Kupambana na Kuzuia Rushwa na Uhujumu wa Uchumi Zanzibar (ZAECA) ili kuwakamata wale wote wanaohusika na makosa hayo. ‘’ Kuna viashiria vya Rushwa tumevibaini, tayari kuna baadhi ya timu tumeshaanza kuzigundua zinataka kucheza mchezo huu mchafu, lakini wajuwe kuwa tupo makini sana n

MSIMAMO WA LIGI KUU ZANZIBAR BAADA YA MZUNGUKO WA 6

Image

KISANDU ATEULIWA KUWA MSEMAJI MPYA WA KAMATI TEULE YA ZFA

Image
Na: Ibrahim Makame, Zanzibar. Kamati teule inayosimamia shughuli zote za Chama cha Soka Zanzibar (ZFA) imepata msemaji wao mpya ambae ni Abubakar Khatib Kisandu muandishi na mtangazaji wa michezo wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC). Akithibitisha kuteuliwa kwake Kisandu amesema kweli amepokea barua kutoka kwa Katibu msaidizi wa kamati hiyo Muhamed Hilali Tedy ya tarehe 7 mwezi Agost yenye namba ZFA/KM/141/VOL/4 kutoka ofisi ya ZFA Taifa. Aidha Kisandu amekubali uteuzi huo na kuwaomba wadau wa michezo kumuunga mkono kwenye kipindi chote cha miezi sita ya utumishi wake ndani ya kamati teule hiyo kwa kuwa wapo kwenye kipindi cha kusimamia mpira wa Zanzibar. Kwa Upande mwengine kisandu amewataka wandishi wenziwe wa michezo kuumpa ushirikiano kwa kuwa yupo katika majukumu mazito ya kitaifa ya kuusemea mpira wa Zanzibar ambao kimsingi umekuwa na Changamoto nyingi sana. “Nafurahi uteuzi huu kwa kuwa ni mwanamichezo na muomba mungu anisaidie kwenye jukumu hili na nawaomba

RATIBA YA LIGI KUU SOKA ZANZIBAR

Image

MKOA WA KASKAZINI UNGUJA KUSHUHUDIA RESI ZA BAISKELI

Image
MASHINDANO ya mbio za baiskeli North Zanzibar Sportive mwaka huu yatafanyika Agosti 19, Visiwani Zanzibar ambazo zitaanza na kumalizika Nungwi Kazkazini mwa Kisiwa cha Unguja na zaidi ya washiriki 200 watakimbia Kilometa 50 na 100 kwa wanaume na wanawake. Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ikuhusiana na matayarisho hayo  Mkurugenzi wa Mbio hizo Abrahman Hussein amesema lengo la kuanzisha mashindano ni kuibua vipaji vya wakimbiaji wa mbio za Baskeli pamoja na kuisaidia Jamii ambapo wamepanga kusaidia ujenzi wa Skuli ya Chekechea ya Nungwi. Amesema mashindano hayo yatasaidia kuongeza idadi ya Watalii nchini na kuongeza pato la taifa na wananchi mmoja mmoja pamoja na ongeza la ajira kwa vijana. Nao baadhi ya Wadhamini wa Mashindano hayo wamesema wameamua kusaidia Mashindano hayo kwa kumfata Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein ambae analengo la kurejesha vugu vugu la Michezo Zanzibar. Kwa upande w

BAADA YA KUMALIZIKA MZUNGUKO WA 5 LIGI KUU ZANZIBAR MSIMAMO HUU HAPA

Image

MICHEZO YA LEO JUMAMOSI LIGI YA ZANZIBAR

Image

NINJA RASMI APEWA JEZI YA CANNAVARO YANGA, FEI TOTO NAE ACHUKUA YA MZANZIBAR MWENZAKE

Image
Mlinzi wa kati wa timu ya Yanga Abdallah Haji Shaibu ‘Ninja’ sasa atavaa jezi nambari 23 iliyokuwa ikivaliwa na aliyekuwa Nahodha wa timu, Nadir Haroub 'Cannavaro'ambae amestaafu rasmi soka la ushindani. Ninja ambae siku moja alitamani kucheza pamoja na Cannavaro kisha pia kutamani baada ya kustaafu nyota huyo jezi yake nambari 23 kuirithi yeye ndoto hizo zimetimia baada ya kukabidhiwa rasmi jezi hiyo badala ya ile 6 aliyovaa msimu uliopita. Jezi ya Ninja ya msimu uliopita (6) sasa itavaliwa na Mzanzibar mwenzake Feisal Salum ‘Fei Toto’ aliyehamia Jangwani kwa kishindo msimu huu akitokea JKU ya Zanzibar. ‘’ Nimefurahi kuvaa jezi hii mana ilikuwa pia ni ndoto zangu, Cannavaro nilikuwa namuiga sana style yake tangu nikiwa mdogo na yeye ananishauri mambo mingi na kunipa moyo ntajitahidi namimi kufanya kazi  na Mungu atanisaidia kuisadia timu yangu ya Yanga’’. Alisema Ninja. Wakati huo huo baada ya aliyekuwa Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub 'Cannavaro' kustaaf