AZAM SPORTS FEDERATION CUP – NUSU FAINALI: AZAM-SIMBA, MBAO-YANGA

DROO ya Mechi za Nusu Fainali za Azam Sports Federation Cup imefanyika Leo na Mabingwa Watetezi Yanga kupangwa kucheza na Mbao FC huko CCM Kirumba, Mwanza.

Nusu Fainali nyingi ni kati ya Azam FC na Simba na Mechi hii itachezwa Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam hapo 29.

Mbao FC na Yanga zitachezwa Aprili 30.

Comments

Popular posts from this blog

WACHEZAJI WA 5 WA ZANZIBAR HEROES WAMEITWA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA TAIFA STARS KWAAJILI YA MICHEZO MIWILI YA KIMATAIFA YA KALENDA YA FIFA.

ZANZIBAR KARIBU WATAPATA UANACHAMA WA FIFA BAADA YA KUWA MWANACHAMA WA 55 WA CAF

JKU ACADEMY HAO WATANGULIA KWENDA ARUSHA KATIKA MASHINDANO YA ROLLING STONE