FEI TOTO WA JKU,NINJA WA TAIFA KUUNGANA NA WENZAO 9 KUKUSA MICHEZO YA WIKI HII
Wachezaji watakaotumikia adhabu baada ya kuoneshwa kadi 3 za njano kwenye mzunguko wa 31 ligi kuu ya soka Zanzibar kanda ya Unguja ni: -
1. Juma mwasimba(Mundu) atakosa mchezo wa Alhamis 20-04-2017 Polisi SC v/s Mundu FC Amani 8:00 mchana.
2. Feisal Salum(JKU) atakosa mchezo wa leo Jumanne 18-04-2017 kati ya JKU SC v/s Black Sailor FC Amani 8:00 mchana.
3. Solomon Joel na Ismail Maseke(Kimbunga) watakosa mchezo wa kesho Jumatano 19-04-2017 Chwaka Stars v/s Kimbunga FC Amani 8:00 mchana.
4. Haji Idrissa(Kipanga) atakosa mchezo wa kesho Jumatano 19-04-2017 kati ya Kipanga SC v/s Chuoni FC Amani 10:00 jioni.
5. Ame Khamis Ame(J/boys) atakosa mchezo wa Ijumaa 21-04-2017 kati ya KMKM SC v/s Jang’ombe Boys Amani 1:00 usiku.
6. Hadhir Islam(Chuoni) atakosa mchezo wa Jumatano 19-04-2017 kati ya Kipanga SC v/s Chuoni FC Amani 10:00 jioni.
7. Khelefein Salum(Kilimani City) atakosa mchezo wa Alhamis 20-04-2017 kati ya Kilimani City FC v/s Kijichi FC Amani 10:00 jioni.
8. Rashid Omar(KVZ) atakosa mchezo wa leo Jumanne 18-04-2017 kati ya Malindi SC v/s KVZ SC Amani 10:00 jioni.
9. Abdalla Rashid(Malindi) atakosa mchezo wa leo Jumanne 18-04-2017 Malindi SC v/s KVZ SC Amani 10:00 jioni.
10. Abdalla Haji Shaib(Taifa) atakosa mchezo wa leo Jumanne 18-04-2017 kati ya Taifa v/s Miembeni SC Amani 1:00 usiku.
IKO VYEMA KAKA TWENDE IVYO IVYO TUTAFIKA
ReplyDeletekidogo kidogo ndio mwendo