HAJI MANARA JELA MWAKA 1, FAINI SH MIL 9

Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Haji Manara, amehukumiwa Kifungo cha Mwaka Mmoja kutojihusisha na masuala ya Soka na pia kutakiwa kulipa Faini ya Shilingi Milioni 9.

Adhabu hiyo imetolewa na Kamati ya Nidhamu ya TFF baada ya Manara kupatikana na Makosa Matatu yaliyoainishwa kwamba ni kuidhalilisha TFF, kueneza chuki za ukabila na la tatu kuingilia utendaji wa Shirikisho hilo.

Comments

Popular posts from this blog

WACHEZAJI WA 5 WA ZANZIBAR HEROES WAMEITWA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA TAIFA STARS KWAAJILI YA MICHEZO MIWILI YA KIMATAIFA YA KALENDA YA FIFA.

ZANZIBAR KARIBU WATAPATA UANACHAMA WA FIFA BAADA YA KUWA MWANACHAMA WA 55 WA CAF

JKU ACADEMY HAO WATANGULIA KWENDA ARUSHA KATIKA MASHINDANO YA ROLLING STONE