WACHEZAJI WATAKAOKOSA KUCHEZA MZUNGUKO WA 31 KWA KUTUMIKIA ADHABU NI HAWA AKIWEMO NINJA WA TAIFA NA FEI TOTO WA JKU
Wachezaji watakaotumikia adhabu baada ya kuoneshwa kadi 3 za njano kwenye mzunguko wa 31 ligi kuu ya soka Zanzibar kanda ya Unguja ni: -
1. Juma mwasimba(Mundu)
2. Feisal Salum(JKU)
3. Solomon Joel na Ismail Maseke(Kimbunga)
4. Haji Idrissa(Kipanga)
5. Ame Khamis Ame(J/boys)
6. Hadhir Islam(Chuoni)
7. Khelefein Salum(Kilimani City)
8. Rashid Omar(KVZ)
9. Abdalla Rashid(Malindi)
10. Abdalla Haji Shaib(Taifa).
Comments
Post a Comment