BAADA YA ZU KUSHINDA KOMBE LA ZAHILFE, UWANJA WA AMAN UKAFURIKA MASHABIKI KATI KATI YA UWANJA

JANA Chuo cha Zanzibar University (ZU) wamefanikiwa kutetea taji lao baada ya kuwafunga Afya Mbweni mabao 4-1 katika fainali ya tano ya Mashindano ya Vyuo Vikuu na taasisi ya Elimu ya Juu Zanzibar (ZAHILFE CUP) katika uwanja wa Amaan.

Lakini punde tu Muamuzi wa Pambano hilo Mfaume Ali Nassor kupuliza penga kuashiria mchezo huo kumalizika Mashabiki wakaingia uwanjani kushangiria ushindi huo.

HISTORIA YA ZAHILFE
2013  AFYA MBWENI PENALTI 5-4 ZU, DAKIKA 90 WALITOKA 0-0
2014 CHWAKA PENALTI 5-4 ZITOD, DAKIKA 90 WALITOKA 1-1
2015 SUMAIT 1-0 ZU
2016 ZU 4-2 CHWAKA

2017 ZU 4-1 AFYA

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

HUYU NDIYE MCHEZAJI MWENYE REKODI YA KUFUNGA MAGOLI MENGI KWENYE MECHI YA TAIFA DHIDI YA BOYS