BONAZA LA MASAUNI CUP USIPIME MWAKA HUU

Naibu waziri wa mambo ya ndani wa Tanzania (Aliyevaa kofia) ambae pia ni Mbunge wa jimbo la Kikwajuni Hamad Yussuf Masauni akizikabidhi Jezi kwa kamati ya Mashindano ya Masauni na Jazira CUP, Mashindano ambayo yanayotarajiwa kufanyika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan baada ya Sala ya Tarawehe. 


Endelea kufatilia Blog hii itakuletea taarifa zote kuhusu Mashindano hayo zikiwemo Ratiba, Timu shiriki, Zawadi kwa Washindi na mambo mengi kuhusu Bonanza hilo.
Hamad Yussuf Masauni 

Comments

Popular posts from this blog

HUYU NDIYE MCHEZAJI MWENYE REKODI YA KUFUNGA MAGOLI MENGI KWENYE MECHI YA TAIFA DHIDI YA BOYS