GULIONI NA AMANI FRESH KUMALIZA MCHEZO WAO KESHO

Mchezo wa ligi daraja la pili Wilaya ya Mjini hatua ya 4 bora kati ya Amani Fresh dhidi ya Gulioni utachezwa kesho Jumamosi Mei 13, 2017 saa 1 za usiku katika uwanja wa Amaan.

Mechi nyengine ya mwisho itapigwa Jumatatu ya Mei 15, 2017 saa 1 usiku kati ya Kwerekwe City dhidi ya Mlandege.

Katika ligi hiyo timu zote zimeshacheza michezo 2 ambapo Mlandege wanaongoza wakiwa na alama 4 sawa sawa na Kwerekwe City wana point 4 lakini Mlandege ana mabao mengi, Amani Fresh ana alama 1 sawa sawa na Gulioni lakini Gulioni kafungwa mabao mingi kuliko Amani Fresh.

Comments

Popular posts from this blog

WACHEZAJI WA 5 WA ZANZIBAR HEROES WAMEITWA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA TAIFA STARS KWAAJILI YA MICHEZO MIWILI YA KIMATAIFA YA KALENDA YA FIFA.

ZANZIBAR KARIBU WATAPATA UANACHAMA WA FIFA BAADA YA KUWA MWANACHAMA WA 55 WA CAF

JKU ACADEMY HAO WATANGULIA KWENDA ARUSHA KATIKA MASHINDANO YA ROLLING STONE