JAMHURI YAANZA VYEMA
Mchezo wa ligi kuu soka ya Zanzibar hatua ya 8 bora kati ya Jamhuri na Mwenge kwenye uwanja wa Gombani Jamhuri imepata ushindi wa mabao 3-2.
Katika uwanja wa Amaan, kuna mchezo kati ya Jang'ombe Boys dhidi ya Taifa ya Jang'ombe mchezo ambao utapigwa saa 2:00 za usiku.
Comments
Post a Comment