KESHO HAPATOSHI ZAHILFE CUP, DABI YA HABARI ZJMMC v/s MCC , ZU v/s SUZA, ZITOD v/s SUMAIT
![]() |
Kikosi cha ZJMMC |
Na Fatma Suleiman, Zanzibar.
Mashindano ya Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar
“ZAHILFE CUP” yataendelea tena kesho kwa kupigwa michezo 7 katika Viwanja 6
tofauti.
Chuo cha Habari ZJMMC watasukumana na MCC Saa 10:00 za jioni
katika uwanja wa Fuoni, SUZA v/s ZU Uwanja wa SUMAIT Saa 10:00, MNMA v/s MICROTECH uwanja wa ZU Tunguu saa
10:00 jioni, KARUME v/s ICPS Uwanja wa Polisi Ziwani saa 10:00 jioni, ZITOD v/s
SUMAIT Uwanja wa SUMAIT Chukwani saa 10:00 za jioni, IPA v/s ZSH uwanja wa
Amaan saa 8:00 mchana na KATI v/s ZIFA Uwanja wa Fuoni Saa 8:00 za mchana.
Mashindano hayo kuna makundi manne (4) A, B,C na D.
KUNDI “A”
ZU
MNMA
SUZA
MICROTECH
KUNDI “B”
SUMAIT
ICPS
ZITOD
KIST
KUNDI “C”
KATI
ZSH
IPA
ZIFA
KUNDI “D”
ZJMMC
MCC
AFYA
(MBWENI)
![]() |
Kikosi cha ZU |
Comments
Post a Comment