LIGI KUU ZENJ HAPATOSHI KESHO, JAMHURI BADO ANAONGOZA
MZUNGUKO WA TATU UTAENDELEA JUMAPILI NA JUMATATU
Kesho Jumapili 21/5/2017 Jang’ombe Boys v/s JKU, saa 10:00 Amaan.
Kesho Jumapili 21/5/2017 Mwenge v/s Okapi, saa 10:00 Gombani.
Jumatatu 22/5/2017 Zimamoto v/s Taifa Jang’ombe, saa 10:00 Amaan.
Jumatatu 22/5/2017 Jamhuri v/s Kizimbani, saa 10:00 Gombani.
Baada ya hapo ligi hiyo itasimama na kupisha mwezi Mtukufu wa Ramadhan ambapo itakuja kuendelea Mzunguko wa nne mpaka imalizike Mwezi huo wa Ramadhan.
Comments
Post a Comment