GULIONI YATULIZWA NA MLANDEGE
Full Time Hatua ya 4 bora ligi daraja la Pili Wilaya ya Mjini.
Mlandege 3-1 Gulioni, bao la Gulioni limefungwa na Shaabani Hassan dakika 28 wakati mabao ya Mlandege yamefungwa dakika 47 na 66 na Mohd Abdallah, Hassan Ramadhan dakika ya 68.
Comments
Post a Comment