LIVE KUTOKA UWANJA WA AMANI, GULIONI V/S KWEREKWE CITY 4 BORA
FT. hatua ya 4 Bora ligi daraja la Pili Wilaya ya Mjini, Gulioni 1-1 Kwerekwe City.
Bao la Gulioni limefungwa na Awatif Amour dakika ya 3 wakati la City limefungwa na Saleh Masoud dakika ya 16.
Dakika ya 45 Abdillah Ame wa Kwerekwe City ametolewa nje kwa kuoneshwa kadi nyekundu na Muamuzi Ali Ramadhan Ibada "Kibo".
Comments
Post a Comment