LIVE TAIFA YA JANG'OMBE v/s JANG'OMBE BOYS KUTOKA UWANJA WA AMAAN

Full Time,  Taifa ya Jang'ombe 0-3 Jang'ombe Boys.

Mabao ya Boys yamefungwa dakika ya 67 Hafidh Barik (Fii), dakika ya 74 Khamis Mussa "Rais" na dakika ya 89 Juma Ali "Mess".

Ni mchezo wa ligi kuu soka ya Zanzibar hatua ya 8 bora.

Muamuzi Mfaume Ali Nassor ameshawatowa nje wachezaji wawili kwa kuwaonesha kadi nyekundu ya moja kwa moja. 

Dakika ya 24 Rashid Mohd wa Boys na dakika ya 29 Ali Badru wa Taifa ndio waliyotolewa kwa kadi nyekundu. 

Mechi hii imeanza saa 2:30 usiku wa leo.

Comments

Popular posts from this blog

WACHEZAJI WA 5 WA ZANZIBAR HEROES WAMEITWA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA TAIFA STARS KWAAJILI YA MICHEZO MIWILI YA KIMATAIFA YA KALENDA YA FIFA.

ZANZIBAR KARIBU WATAPATA UANACHAMA WA FIFA BAADA YA KUWA MWANACHAMA WA 55 WA CAF

JKU ACADEMY HAO WATANGULIA KWENDA ARUSHA KATIKA MASHINDANO YA ROLLING STONE