NEGRO YASHINDWA KUPANDA DARAJA BAADA YA KUTOKA SARE NA AFRICAN COAST
Timu ya African Coast ya Upenja imeungana na Villa United (Mpira Pesa) kupanda ligi daraja la kwanza taifa baada ya leo kutoka sare ya 1-1 dhidi ya Negro, mchezo uliopigwa saa 1 za usiku katika uwanja wa Amaan kwenye hatua ya 6 bora ligi daraja la pili taifa.
Comments
Post a Comment