POLISI YAIMALIZA KWALA LEO
MATOKEO YA LEO LIGI KUU ZENJ AMAAN
Saa10 Polisi 2-0 Miembeni.
Mabao yamefungwa na Gervas Erasto dakika ya 44 na 46.
Saa1 za usiku leo Chuoni 0-0 Kilimani City.
Kesho Amaan Saa 10:00 za jioni Taifa ya Jang'ombe dhidi ya Malindi, na saa 1 usiku JKU dhidi Zimamoto.
Comments
Post a Comment