WAZENJ WAWILI MWINYI NA AGGREY WAITWA STARS
Mzanzibar Mwinyi Haji Ngwali wa Yanga na Aggrey Moris wa Azam ni miongoni mwa wachezaji wawili Wazanzibar waliyoitwa leo katika timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars".
WALIOITWA TAIFA STARS KWA AJILI YA AFCON
Makipa
- Aishi Manula
- Beno Kakolanya
- Saidi Mohamedi
Walinzi
- Hassani Kessy
- Haji Mwinyi
- Gadiel Michael
- Shomari Kapombe
- Aggrey Moris
- Mohamedi Hussein
- Salim Mbonde
- Abdi Banda
- Erasto Nyoni
Viungo
- Saimoni Msuva
- Himidi Mao
- Saidi Ndemla
- Jonasi Mkude
- Mzamiru Yassin
- Farid Mussa
- Salumu Aboubacary
- Shiza Kichuya
Washambuliaji
- Mbwana Samata
- Mbaraka Yusufu
- Ibrahimu Ajibu
- Abdulhman Mussa
Kocha mkuu : Salumu Mayanga.
Comments
Post a Comment