ZAHILFE CUP LIVE KUTOKA UWANJA WA AMANI, ZU v/s NYERERE
Full Time, Mashindano ya Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar ZAHILFE CUP.
Zanzibar University 4-0 Mwalim Nyerere.
Mabao ya ZU yamefungwa na Nabil Juma "Jaja" dakika ya 49, Hassan H Haji dakika ya 65, Mohd Nassor "Jaba" dakika ya 76 na Yussuf R Haji "Mess" dakika ya 88.
Kombe hilo litaendelea tena kesho kwa kupigwa michezo 6 katika viwanja tofauti.
Amaan, Saa10 kamili Chuo cha Habari v/s Afya.
Fuoni, Saa 8:00 IPA v/s ZIFA.
Fuoni, Saa 10 MICROTECH v/s SUZA.
Chukwani, Saa 10 KATI v/s ZSH.
Polisi Ziwani, SUMAIT v/s ICPS.
Tunguu ZU, KARUME v/s ZITOD.
Comments
Post a Comment